2 Kings 15:20

20 aMenahemu akatoza fedha hizi kwa nguvu kutoka kwa Israeli. Kila mtu tajiri alilazimika kuchanga shekeli hamsini za fedha
Shekeli 50 za fedha ni sawa na gramu 600.
ambazo alipewa mfalme wa Ashuru. Basi mfalme wa Ashuru akajiondoa na hakuendelea kuikalia nchi.

Copyright information for SwhNEN